MAGAZETI ya Leo Jumapili 07 December 2025

Filed in Magazetini Leo by on 07.12.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumapili 07 December 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 07 December 2025

MAGAZETI ya Leo Jumapili 07 December 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Jeshi la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano yasiyo na kikomo yaliyopangwa kufanyika kuanzia December 09, 2025 kwakuwa maandamano hayo hayana sifa na hayakubaliki Kisheria.

Akiongea Disemba 05, 2025 Msemaji wa Polisi, David Misime amesema kuwa “Maandamano hayo yanayopewa jina la maandamano ya amani na yasiyo na kikomo yamekosa sifa za kisheria za kuruhusiwa kufanyika na kwa kuwa yametangazwa kufanyika nchi nzima, kwa kuwa hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa na ofisi yoyote na Mkuu wa Polisi wa Wilaya”

“Polisi inapiga marufuku maandamano hayo yasifanyike na Jeshi la Polisi linatoa wito kwa Watanzania na wasio Watanzania walio nchini wayakatae na wayakemeee kama yanavyohamasishwa”

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *