NAFASI Za Kazi Absa Bank Tanzania

NAFASI Za Kazi Absa Bank Tanzania
NAFASI Za Kazi Absa Bank Tanzania
Absa Bank Tanzania Limited ni benki ya Biashara nchini Tanzania na kampuni tanzu ya Absa Group Limited yenye makao yake nchini Afrika Kusini.
Makao Makuu na tawi kuu la Benki ya benki hiyo yapo katika Barclays House, kando ya Mtaa wa Ohio, katika jiji la Dar es Salaam , mji mkuu wa kifedha na jiji kubwa zaidi la nchini Tanzania.
Benki hiyo inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali za Ajira zilizotangazwa Katika Tangazo hili.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Absa Bank Tanzania Limited.
BOFYA HAPA KUTUMA MAOMBI

Mimi naitwa daudi Salumu hamisi naishi dar es Salaam mbezi juu elimu yangu nidalasa lasaba kaweB nimesomea PSV chuo cha usafilishaji napia lesseni yangu ni A B C1 C2 C3 D E naomba kazi ya udereva namba ya simu 0758594859 asante mimi daudi Salumu hamisi