KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mwanga District Council

Filed in Usaili by on 03.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mwanga District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mwanga District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mwanga District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la MWANGA anawatangazia waombaji wa ajira za muda kwa nafasi ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura kushiriki katika usaili utakaofanyika tarehe 4/10/2025 na waombaji wa nafasi ya Makarani Waongozaji Wapiga Kura utakaofanyika tarehe 5/10/2025 katika shule ya Msingi Mwanga kuanzia saa 2:00 Asubuhi.

NB: Orodha ya walioitwa katika usaili huo inapatikana katika Ofisi za Watendaji wa Kata husika.

Halmashauri zingine bofya hapa

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *