MAGAZETI ya Leo Ijumaa 19 September 2025

Filed in Magazetini Leo by on 19.09.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Ijumaa 19 September 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 19 September 2025

MAGAZETI ya Leo Ijumaa 19 September 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanguka kwa nafasi nne katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) vilivyotangazwa Septemba 18, 2025.

Tanzania imedondoka kwa nafasi kutoka ya 103 ambayo ilikuwepo awali hadi nafasi ya 107 kwa viwango vilivyotolewa leo na FIFA.

Kufanya vibaya kwa Taifa Stars katika mechi mbili zilizopita za kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026, kumeonekana kuchangia kwa kiasi kikubwa kuiangusha katika viwango vipya vya ubora wa soka.

JE, UNATAFUTA AJIRA LEO?
Jiunge na Watanzania Wengine Kupata Matangazo ya Ajira Kila Siku Kutoka Serikalini Pamoja na Makampuni Mbalimbali Leo Gusa HAPA
Share Kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki nao wapate Fursa hizi Kila Siku.

JIUNGE NA GROUP LETU HAPA, GROUP NO 2 HAPA, JIUNGE NA CHANNEL YETU HAPA, JIUNGE NA TELEGRAM HAPA, GROUP NO 3 HAPA, GROUP NO 4 HAPA


Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *