KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nkasi District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nkasi District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nkasi District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la NKASI KASKAZINI NA NKASI KUSINI anawatangazia waombaji wa nafasi Msimamizi wa kituo na Karani mwongozaji wapiga kura kuwa zoezi la USAILI ambalo liliahirishwa kufanyika Tarehe 08/10/2025 sasa litafanyika tarehe 13/10/2025.
Orodha ya Wasimamizi wa Vituo na Makarani Waongozaji watakao sailiwa imembatanishwa kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nkasi District Council