NAFASI Za Kazi Tasaf Tanzania

NAFASI Za Kazi Tasaf Tanzania
NAFASI Za Kazi Tasaf Tanzania
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii au Tanzania Social Action Fund (TASAF) ni mpango wa serikali unaolenga kuwasaidia wananchi walio maskini na kupunguza kiwango cha umaskini nchini Tanzania.
TASAF) ilianzishwa Mwaka 2000, ikijitolea kupunguza umaskini nchini Tanzania kupitia maendeleo yanayoendeshwa na jamii, uhamisho wa pesa taslimu, na kazi za umma.
Kwa sasa katika awamu yake ya tatu (TASAF III), programu hiyo inalenga kaya maskini na zilizo katika mazingira magumu, ikitoa uhamisho wa masharti ili kuboresha afya, elimu, na fursa za kujipatia riziki
Tasaf inatafuta watu wenye nia, ari Pamoja na Sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini.
TUMA MAOMBI HAPA
