NAFASI Za Kazi Standard Bank Group

Filed in Ajira by on 25.03.2026 4 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Standard Bank Group

NAFASI Za Kazi Standard Bank Group

NAFASI Za Kazi Standard Bank Group

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Standard Bank Group Limited ni benki kuu ya Afrika Kusini na ni mkopeshaji mkubwa zaidi wa mali barani Afrika.

Benki ya Stanbic Tanzania ni mwanachama wa Kundi la Benki ya Standard ya Afrika Kusini na ilianzishwa Mei 1995 wakati Standard Bank Group ilipopata shughuli za Meridien Biao Bank Tanzania Limited.

Benki hiyo inatazamia kuajiri watu wenye nia, ari Pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali za Kazi zilizoanishwa Katika Tangazo hili la Ajira.

Kuona Ajira hizo Pamoja na Jinsi ya Kutuma Maombi tafadhali bonyeza link hapa chini.

Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Standard Bank Group Limited

  1. Head, Global Markets Sales, BCB & PPB
  2. Officer, Management Reporting & Financial Controls
Share This Post

Tags:

Comments (4)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Eva Fidelis Shayo says:

    I appying for

  2. Eva Fidelis Shayo says:

    Im looking for accountant job

  3. Iqram says:

    Ajira

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *