NAFASI 1000 Za Kazi Nad Insurance Agency

NAFASI 1000 Za Kazi Nad Insurance Agency
NAFASI 1000 Za Kazi Nad Insurance Agency
Nad Insurance Agency, ikishirikiana na CRDB inatangaza nafasi 1,000 za kazi kwa vijana wote wa Kitanzania.
VIGEZO
- Elimu kuanzia Kidato cha Nne.
- Kitambulisho cha NIDA/Mpiga Kura.
- Uwe na Simu Janja.
- Uwe Muaminifu.
- Uwe Mchapakazi
MAJUKUMU
Kutengeneza LIPA HAPA ZA CRDB kwa wafanyabiashara Kutengeneza AKAUNTI MPYA za wateja wapya wa CRDB
Location: Mikoa yote Tanzania
Wasiliana Nasi +255 766 882 211 au email: mkibosile@nad.co.tz
