NAFASI 500 Za Kazi MIC Trust Investment Network

NAFASI 500 Za Kazi MIC Trust Investment Network
NAFASI 500 Za Kazi MIC Trust Investment Network
Kampuni ya MIC Trust Investment Network inatangaza nafasi 500 za Kazi (Sales Person) kwaajili ya Kufungua account za CRDB Pamoja Lipa za CRDB kama ilivyoanishwa hapa chini.
Nafasi: Sales Person (500 Position)
Majukumu
- Kufungua account za CRDB Bank
- Kufungua Lipa za CRDB Bank
Sifa na Vigezo
- Awe Elimu Kuanzia Kidato Cha Nne.
- Awe na Simu Janja (Smartphone/ android).
- Awe na Namba ya NIDA.
- Awe Mwaminifu na
- Awe mchapa Kazi.
Location: Morogoro, Iringa, Dar Es Salaam, Pwani, Kilimanjaro, Manyara, Singida, Arusha na Dodoma.
Kutuma maombi Piga Simu namba +255 627 090 224/ +255 787 120 167, +255 742 130 167, +255 746 754 976, +255 675 656 558 au email: salesteam@mictrustinvestment.co.tz
