NAFASI Za Kazi Exim Bank Tanzania
Benki ya Exim (Tanzania) (EBT), ni benki ya biashara nchini Tanzania na ya pili kwa uchumi mkubwa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Benki hiyo inawaalika watu wenye nia, ari Pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili la Ajira hapa chini.
Kutuma Maombi, kuona Sifa na Vigezo tafadhali bonyeza link iliyoambatanishwa hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Exim Bank Tanzania.
BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

