NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

Filed in Ajira by on 24.03.2026 1 Comment
Share This Post
NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

NAFASI Za Kazi DTB Bank Tanzania

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Diamond Trust Bank Tanzania Plc (DTBT) ni benki ya biashara nchini Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1945, kama Diamond Jubilee Investment Trust (DJIT) yenye ofisi yake kuu Dar es Salaam (Tanzania) na matawi Mombasa ( Kenya) na Kampala (Uganda).

Mnamo 1965, DJIT iligawanywa katika kampuni tatu – DJIT Tanzania, DJIT Kenya na DJIT Uganda na ofisi kuu za Dar es Salaam, Nairobi na Kampala.

DJIT Tanzania ilibadilisha jina lake kuwa Diamond Trust of Tanzania (DTT) mwaka 1990, Chini ya mabadiliko ya jina, Benki ilipanua huduma zake kutoka shirika la fedha la jumuiya hadi taasisi ya kifedha isiyo ya benki na kuanza kutoa huduma za kifedha kwa umma kwa ujumla.

Benki hiyo ina mtandao wa matawi 29, ambapo 15 yapo katika Jiji la Kibiashara la Dar es Salaam, huku mengine 14 yaliyobaki yakiwa yameenea katika vituo vikubwa vya biashara nchini.

DTB Bank inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili.

Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Diamond Trust Bank Tanzania Plc (DTBT)

DONWLOAD PDF HAPA

Share This Post

Tags:

Comments (1)

Trackback URL | Comments RSS Feed

  1. Dennis says:

    Denis venant. naomba kuuliza nafasi ya kazi ya udeleva kama zipo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *