NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi Za Muda Mrefu ngazi ya Tatu (L.III)

Filed in Elimu by on 30.03.2026 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi Za Muda Mrefu ngazi ya Tatu (L.III)

NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi Za Muda Mrefu ngazi ya Tatu (L.III)

NAFASI Za Kujiunga na VETA Kwa Kozi Za Muda Mrefu ngazi ya Tatu (L.III)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

TANGAZO LA FURSA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA KOZI ZA MUDA MREFU NGAZI YA TATU (L.III) KATIKA VYUO VYA VETA

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inakaribisha maombi ya kujiunga na Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Ngazi ya Tatu kwa mwaka wa mafunzo wa 2026 kwenye vyuo vinavyomilikiwa na VETA.

UCHUKUAJI NA URUDISHAJI FOMU
Fomu zitatolewa kuanzia tarehe 31/3/2026 na mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu ni tarehe 8/5/2026.

SIFA ZA KUJIUNGA
Mwombaji anatakiwa awe na Cheti cha Taifa cha Ufundi Stadi, Ngazi ya Pili (NVA Level 2).

UPATIKANAJI WA FOMU
Fomu zinapatikana katika vyuo vya VETA na kwenye tovuti: www.veta.go.tz

Orodha ya vyuo na stadi zake imeambatishwa.

Malipo ya fomu ni Shilingi 5,000 (Elfu Tano tu) na italipwa wakati wa kuirejesha fomu.

Ada ya kutwa: 60,000/= kwa mwaka Ada ya bweni: 120,000/= kwa mwaka.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *