KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Hai District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Hai District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Hai District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la HAI anawatangazia waombaji wa kazi ya muda nafasi za,
- A. Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia kura
- B. Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia kura.
- C. Makarani Waongozaji Wapiga Kura.
Kufika kwenye usaili Tarehe 07/10/2025 katika Ukumbi wa Filomena uliopo Kata
ya Masama Kusini, Kijiji cha Mungushi, Barabara ya Sanya kuanzia saa 1:30
asubuhi.
Orodha ya majina imeambatishwa hapa chini kwenye PDF.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Hai District Council
