KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Tabora Municipal Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Tabora Municipal Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Tabora Municipal Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2025, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2024, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Tabora Mjini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 10 Oktoba, 2025 ambao ni Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo vya Kupigia Kura na Makarani Waongozaji Wapiga Kura tarehe 11 Oktoba, 2025 katika Ofisi za Halmashauri ya Manispaa Tabora kuanzia saa 2 Asubuhi.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Tabora Municipal Council