KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Karatu District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Karatu District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Karatu District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Karatu anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 11 Oktoba, 2025 katika Ukumbi Karatu Sekondari kuanzia saa 03.00 asubuhi.
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Karatu District Council