MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 06-07/10/2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 06-07/10/2025
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo UTUMISHI 06-07/10/2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingatia ratiba, muda na eneo la usaili.
Aidha,wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.