KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Moshi District Council

Filed in Usaili by on 09.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Moshi District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Moshi District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Moshi District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Moshi Vijijini na Jimbo la Vunjo anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 11 na 12 Oktoba 2025 katika Shule ya Sekondari Kimochi iliyopo Sango jirani na Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Moshi. Usaili huu utafanyika kwa makundi kwa kuzingatia tarehe na muda tofauti kama inavyoonekana kwenye majedwali hapo chini;-

Aidha wasailiwa wote walioitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

  • Kila msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kimojawapo kati ya hivi; Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Kitambulisho cha Mpiga Kura, Hati ya kusafiria, Kitambulisho cha kazi, Leseni ya udereva au Barua ya Utambulisho toka Serikali ya Kijiji.
  • Kila msailiwa aje na kalamu ya bluu au nyeusi.
  • Msailiwa atakayeshindwa kuzingatia maelekezo i na ii hapo juu hatoruhusiwa kuingia kwenye usaili.

Orodha ya majina ya walioitwa pamoja na tarehe na muda wa usaili vimeambatishwa hapa chini kwenye PDF.

DONWLOAD PDF DOCUMENT HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *