KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibondo District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibondo District Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibondo District Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Muhambwe anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili siku ya Jumapili Tarehe 12/10/2025 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Malagarasi kuanzia saa 3.00 asubuhi.
ANGALIZO: Kila mwombaji anatakiwa kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Kibondo District Council