KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Arusha City Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Arusha City Council
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Arusha City Council
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Arusha Mjini anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 13/10/2025 saa 4:00 asubuhi katika Ofisi za Kata sawa na mchanganuo hapa chini.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA
Tags: KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Arusha City Council