KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nyassa District Council

Filed in Usaili by on 10.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nyassa District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nyassa District Council

KUITWA Kwenye Usaili Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Nyassa District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Nyasa anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 15 Oktoba, 2025. Usaili huo utafanyika kwa Tarafa ambapo wasahiliwa wanaotoka Tarafa ya Mpepo usaili utafanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Kilumba, wasahiliwa wanaotoka Tarafa ya Ruhuhu usaili utafanyika katika Ofisi ya Kata ya Lituhi na wasailiwa wanaotoka Tarafa ya Ruhekei usaili utafanyika Ukumbi wa shule ya Sekondari Limbo. Wasailiwa wanapaswa kufika eneo la usaili saa 2:00 Asubuhi.

DONWLOAD PDF YA MAJINA HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *