KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Silver Strikers CAF Champions League 2025/2026

Msafara wa wachezaji 24, benchi la ufundi na viongozi wa Yanga umeondoka leo kuelekea Malawi kwaajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza kuwania tiketi ya kutinga hatua ya Makundi Michuano ya Ligi ya Mabingwa (CAF Champions League 2025/2026) dhidi ya Silver Strikers.
Mchezo huo utapigwa Jumamosi ya October 18 nchini Malawi kwenye Uwanja wa Bingu Kuanzia Saa 10:00 Jioni.

KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Silver Strikers CAF Champions League 2025/2026
Tags: KIKOSI Cha Yanga Kilichoifuata Silver Strikers CAF Champions League 2025/2026