KUITWA Kazini UTUMISHI 16/10/2025

KUITWA Kazini UTUMISHI 16/10/2025
KUITWA Kazini UTUMISHI 16/10/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 09-11-2024 na tarehe 26-08-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama l yalivyoorodheshwa katika
tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
