NAFASI Za Kazi Stefano Moshi Memorial University College

NAFASI Za Kazi Stefano Moshi Memorial University College
NAFASI Za Kazi Stefano Moshi Memorial University College
Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) ni Chuo Maalumu cha Tumaini University Makumira (TUMA).
Chuo Kikuu hicho kina makao yake makuu katika Kijiji cha Masoka, kilomita 14 kaskazini mwa Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
SMMUCo inakusudia kurejesha udahili wa wanafunzi katika mwaka ujao wa masomo (2026/27).
Kama sehemu ya maandalizi, Chuo kinapenda kuajiri wahadhiri na wahadhiri wasaidizi wenye ushindani, mahiri na wenye uzoefu ili kufundisha katika programu zifuatazovhapa chini kwenye PDF.
Nafasi 26 Mpya Za Kazi Kutoka Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo).
TUMA MAOMBI HAPA
Tags: NAFASI Za Kazi Stefano Moshi Memorial University College
