KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council

Filed in Kuitwa Kazini by on 24.10.2025 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council

KUITWA Kazini Kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025 Mbeya District Council

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu na kwa kuzingatia masharti ya Kanuni ya 12(2) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025 Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbeya Vijijini anawatangazia Vituo wafuatao kuwa wamechaguliwa kwa nafasi ya Wasimamizi wa Wasimamizi Wasaidizi wa vituo vya kupigia kura hivyo wanapaswa kufika kwenye mafunzo Tarehe 26.10.2025 na Tarehe 27.10.2025.

  • Kata ya lyunga Mapinduzi Santilya, Isuto lembo, Itawa, Masoko, waji Shizuvi. Izyra Mafunzo yatafanyika katika Ukumbi wa Mbalizi Sekondari.
  • Kata ya Igale, windi. Swaya Utengule Usongwe Nsalala, Bonde Songwe, Mshewe, Ikukwa na Mjele Mafunzo yatafanyika katika Ukumbi wa UEFA ulioko Kata ya Nsalala.
  • Kata ya Lwanjilo, Ihango, Itewe, Inyala. Tembele, ljombe, Igoma, Ulenje. Maendeleo na llungu Mafunzo yatafanyika katika Ukumbi wa Sekondari ya Maranatha uliopo Kata ya Iwindi-Mbalizi.

ZINGATIA: Muda wa kuripoti kwenye Ukumbi ni Saa Moja na Nusu Asubuh.

DONWLOAD HAPA PDF YA MAJINA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *