MAGAZETI ya Leo Jumatatu 27 October 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 27 October 2025
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 27 October 2025

Mwenyekiti wa zamani wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Salim Abdallah Muhene “Try Again” baaada ya mchezo wa sare ya 0-0 wa Simba SC vs Nsingizini ya Eswatini, amesema kuwa lengo lao kuu lilikuwa kufuzu hatua ya makundi na wamefanikiwa kufikia lengo hilo.
Simba SC imefuzu hatua ya makundi ya CAF Champions League kwa ushindi wa jumla wa magoli 3-0 walioupata katika mchezo wa kwanza ugenini.
“tunamshukuru Mungu kwanza tumefuzu na hiyo ndio mipango yetu, unaweza kuona tumecheza taratibu sana ila yote hiyo mipango ya Mwalimu, mbele yetu tuna mechi za ligi kwa hiyo tulikuwa tunatunza nguvu”
