NAFASI 28 Za Kazi Bunge la Tanzania

NAFASI 28 Za Kazi Bunge la Tanzania
NAFASI 28 Za Kazi Bunge la Tanzania
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeundwa kwa mujibu wa Ibara ya 62 (1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977.
Aidha, Ibara ya 88 (1) ya Katiba inaunda Sekretarieti ya Bunge yenye jukumu la kuliwezesha Bunge kutekeleza majukumu yake.
Kwa msingi huo, Katibu wa Bunge anatangaza nafasi za kazi 28 za Kada mbalimbali ili kuimarisha utendaji.
Watanzania wote wenye sifa na uwezo wanaalikwa kutuma maombi yao ili kujaza nafasi 28 za kazi kama zilivyoanishwa hapa chini kwenye PDF.
Nafasi 28 Mpya Za Kazi Kutoka Bunge la Tanzania November 2025.
DONWLOAD PDF HAPA
