NAFASI Za Kazi Tanganyika District Council

NAFASI Za Kazi Tanganyika District Council
NAFASI Za Kazi Tanganyika District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi sita (06) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
DOWNLOAD PDF HAPA