NAFASI Za Kazi Mlele District Council

NAFASI Za Kazi Mlele District Council
NAFASI Za Kazi Mlele District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi sita (06) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF HAPA
