NAFASI Za Kazi Lake Cement Ltd

NAFASI Za Kazi Lake Cement Ltd
NAFASI Za Kazi Lake Cement Ltd
Lake Cement Tanzania Ltd ni kampuni ya saruji nchini Tanzania iliyoanza uzalishaji kwenye mwaka 2014.
Kiwanja chake kiko kwenye kata ya Kimbiji, Wilaya ya Kigamboni, Dar es Salaam. Inauza saruji yake kwa rajamu ya Nyati Cement.
Kiwanda hicho kinaenea kwa eneo la hektari 100 huko Kimbiji kikiwa na uwezo wa kuzalisha megatani 500,000 kwa mwaka.
Kiwanda huwa na kituo cha kuzalisha umeme kinachotumia makaa mawe. Makaa hupatikana kotoka migodi kwenye mkoa wa Ruvuma.
Lake Cement Ltd inatafuta Watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
DONWLOAD PDF HAPA

Hardworking