NAFASI Za Kazi Ikungi District Council

NAFASI Za Kazi Ikungi District Council
NAFASI Za Kazi Ikungi District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Ikungi anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi nane (8) za kazi katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF HAPA
