NAFASI Za Kazi Serengeti District Council

NAFASI Za Kazi Serengeti District Council
NAFASI Za Kazi Serengeti District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti anawatangazia
Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tisa (09) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao kwenye PDF hapa chini.
DOWNLOAD PDF HAPA