NAFASI Za Kazi Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN)

NAFASI Za Kazi Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN)
NAFASI Za Kazi Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN)
Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN) ni Shirika la Umma lililoanzishwa tarehe 0 Februruari, 1970, chini ya Sheria ya Mashirika ya Umma, 1961.
Hivi sasa TSN ni kampuni ya binafsi ya dhima yenye kikomo (LTD) inayomilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yenye 99% ya hisa na Mhariri Mtendaji, ambaye pia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa masuuli (1% ya hisa).
Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Kupitia Ajira Portal, inawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba ajira katika nafasi mbalimbali za kazi zilizoanishwa hapa chini.
- ENGINEER GRADE II – ELECTRICAL (Nafasi 1)
- ICT OFFICER GRADE II – DEVELOPER (Nafasi 2)
- ASSISTANT GRAPHIC DESIGNER II (Nafasi 2)
- MARKETING OFFICER GRADE II (Nafasi 3)
Waombaji wote wa Ajira hizi wanatakiwa kutuma maombi yao kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal.
Ili Kutuma Maombi Fungua tovuti ya Ajira Portal kupitia anwani ifuatayo: https://portal.ajira.go.tz/vacancies kisha jaza taarifa zote muhimu kama inavyoelekezwa kwenye Tangazo.
Mwisho wa Kutuma Maombi ni tarehe 22/12/2025
