KUITWA Kwenye Usaili Ofisi ya Bunge 20/12/2025

KUITWA Kwenye Usaili Ofisi ya Bunge 20/12/2025
KUITWA Kwenye Usaili Ofisi ya Bunge 20/12/2025
Katibu wa Bunge Ofisi ya Bunge anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 20/12/2025 hadi 23/12/2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
DONWLOAD PDF HAPA