SAMPLE ya Barua ya Kuomba Ajira Za Uhamiaji

SAMPLE ya Barua ya Kuomba Ajira Za Uhamiaji
SAMPLE ya Barua ya Kuomba Ajira Za Uhamiaji
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Úendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, ametangaza nafasi za Ajira Mpya za Konstebo wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa stahiki kama Zilivyoainishwa kwenye Tangazo husika.
Ili Kutuma Maombi hii hapa chini ni Barua ya Mfano ambayo inatakiwa Kuandikwa Kwa Mkono na kuambatishwa (upload) kwenye mfumo wa ajira.
DONWLOAD PDF HAPA