RASMI Mahamoud Tanja Kassali atambulishwa Simba

RASMI Mahamoud Tanja Kassali atambulishwa Simba
RASMI Mahamoud Tanja Kassali atambulishwa Simba
Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa mlinda lango Mahamoud Tanja Kassali Kutoka AS FAN ya Kwao Niger.
Kassali ametua Simba kuchukua nafasi ya Moussa Camara ambaye majeraha yamepelekea kuondolewa kikosini.
Aidha Camara ataendelea kuwa
mchezaji wa Simba lakini jina lake litaondolewa kwenye usajili ili kumpisha Kassali.