NAFASI Za Kazi Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)

Filed in Ajira by on 27.03.2026 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)

NAFASI Za Kazi Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)

NAFASI Za Kazi Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL)

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linawatangazia Vijana wenye sifa na uwezo wa kufanya kazi ya kuwa Wakala wa Usajili wa Huduma ya Faiba katika Mikoa ya Arusha na Geita (Katoro)

SIFA ZA MUOMBAJI
Muombaji anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:

  • Umri usiopungua miaka 18.
  • Awe raia wa Tanzania mwenye Kitambulisho cha Taifa (NIDA) au Kitambulisho cha Mpiga Kura au Leseni ya Udereva.
  • Awe na cheti cha kuhitimu Kidato cha Nne.
  • Awe anaishi katika eneo husika.
  • Awe na uwezo wa kusoma na kuandika Kiswahili na/au Kiingereza.
  • Awe na nidhamu, uadilifu, na asiwe na rekodi ya makosa yoyote ya jinai au mashtaka yanayohusiana na uaminifu.
  • Awe na uwezo wa kutumia simu janja (smartphone)
  • Awe tayari kupokea mafunzo na kufuata miongozo ya Shirika.
  • Awe na uwezo wa kujieleza na kuwasiliana na wateja.

RATIBA NA MAHALI PA USAHILI

RATIBA NA MAHALI PA USAHILI

RATIBA NA MAHALI PA USAHILI

TARATIBU ZA MAOMBI

  • Waombaji wote wanatakiwa kufika katika Ofisi za TTCL katika mikoa husika kulingana na ratiba tajwa hapo juu.
  • Waombaji wafike na nakala ya Cheti na kitambulisho halali.
  • Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia 0222 100 100 au barua pepe: barua@ttcl.co.tz
Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *