NAFASI Za Kazi Assemble Insurance

NAFASI Za Kazi Assemble Insurance
NAFASI Za Kazi Assemble Insurance
Assemble Insurance Tanzania Limited ni mtoa huduma binafsi wa bima mwenye makao yake Afrika Mashariki mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 35, akifanya kazi Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, na Sudan Kusini.
Assemble Insurance inatoa huduma maalum za matibabu, bima ya jumla, na ustawi kwa zaidi ya wanachama 300,000.
Assemble Insurance inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
DONWLOAD PDF HAPA
