KUITWA Kazini Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili

Filed in Kuitwa Kazini by on 07.04.2026 0 Comments
Share This Post
KUITWA Kazini Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili

KUITWA Kazini Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili

KUITWA Kazini Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 17-02-2026 na tarehe 18-02-2026 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri ndani ya siku saba (7) kuanzia tarehe 08 Aprili, 2026 wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates) za masomo kuanzia
kidato cha nne na kuendelea, kitambulisho au namba ya NIDA pamoja na cheti cha kuzaliwa ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

ORODHA YA WASAILIWA WALIOITWA KAZINI.

DONWLOAD PDF HAPA

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *