WANAFUNZI Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu CUHAS 2025/2026

WANAFUNZI Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu CUHAS 2025/2026
WANAFUNZI Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu CUHAS 2025/2026
Waombaji wafuatao wamechaguliwa kujiunga na programu za Diploma ya Kawaida katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Afya na Sayansi Shirikishi (CUHAS) 2025/2026 katika Programu Za Diploma ya Diagnostic Radiografia (DDR), Diploma ya Sayansi ya Dawa (DPS), Diploma ya Sayansi ya Maabara ya Tiba (DMLS).
Kupata Maelekezo ya Jumla, tarehe za Kuripoti Chuoni, Fomu za Kujiunga pamoja na Ada tafadhali Donwload PDF ya Majina hapa chini.
KUONA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CUHAS 2025/2026 BOFYA HAPA
Tags: WANAFUNZI Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Kikuu CUHAS 2025/2026