NAFASI Za Kazi KCMC University

Filed in Ajira by on 20.07.2025 0 Comments
Share This Post
NAFASI Za Kazi KCMC University

NAFASI Za Kazi KCMC University

NAFASI Za Kazi KCMC University

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Chuo cha Kilimanjaro Christian Medical (KCMC University) kilianzishwa Mwaka 1996 kwa ushirikiano kati ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania na Jumuiya ya Madaktari wa Kikristo Tanzania.

Chuo Cha Kilimanjaro Christian Medical kilianzishwa kwa lengo la kuendeleza Elimu ya Sayansi ya Afya na kuboresha huduma za afya za Kikanda.

Chuo Kikuu cha KCMC kinaendeshwa na dhamira ya kufikia ubora katika elimu, utafiti, na Ushirikiano Shirikishi, kikijitahidi kukuza wataalamu wa afya wenye uwezo wa kushughulikia mahitaji ya afya yanayoendelea ya jamii.

Chuo hicho kinatafuta Watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili.

Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Chuo cha Kilimanjaro Christian Medical (KCMC)

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO

 

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *