MAGAZETI ya Leo Jumatatu 21 July 2025

Filed in Magazetini Leo by on 21.07.2025 0 Comments
Share This Post
MAGAZETI ya Leo Jumatatu 21 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 21 July 2025

MAGAZETI ya Leo Jumatatu 21 July 2025

MATANGAZO YA KAZI BOFYA HAPA

Watu ambao idadi yao haijafahamika wanahofiwa kufariki Dunia baada ya Meli ya abiria ya KM Barcelona VA, kuwaka moto karibu na kisiwa cha Talise nchini Indonesia July 20,2025.

Video liyosamba kwenye Mitandao ya Kijamii inaonesha baadhi ya Abiria wakiendelea kuruka kutoka kwenye meli inayoungua na kurukia kwenye maji ili kujiokoa huku moto ukizidi kushika kasi na kuiunguza meli.

Share This Post

Tags:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *