MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 21/07/2025

MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 21/07/2025
MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 21/07/2025
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 04-01-2025 na tarehe 28-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.
Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.
-
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 21-07-2025
-
TANGAZO LA KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 21-07-2025
Majina mengine ya Walioitwa Kazini Kutoka Taasisi Mbalimbali Za Umma mwezi huu July 2025 tazama hapa chini.