NAFASI Za Kazi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)

NAFASI Za Kazi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
NAFASI Za Kazi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Southern African Development Community (SADC) iliundwa huko Lusaka, Zambia, tarehe 1 Aprili 1980 ambapo Makao makuu yake yako Gaborone nchini Botswana.
Malengo Makuu ya SADC ni kufikia maendeleo, amani na usalama, na ukuaji wa uchumi, ili kupunguza umaskini, kuimarisha kiwango na ubora wa maisha ya watu wa Kusini mwa Afrika, na kusaidia watu wasiojiweza kijamii kupitia ushirikiano wa kikanda, unaojengwa juu ya kanuni za kidemokrasia na maendeleo ya usawa na endelevu.
Kitengo cha Kupunguza Hatari za Maafa cha SADC kina jukumu la kuratibu mipango ya kikanda ya kujiandaa na kukabiliana na majanga ya kuvuka mipaka.
Nchi Wanachama ni: Afrika Kusini, Angola, Botswana, Eswatini, Komoro, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Lesotho, Madagaska, Malawi, Morisi, Msumbiji, Namibia, Shelisheli, Tanzania, Zambia, Zimbabwe.
Hivyo ina nchi takribani 16 ndani yake, Pia Burundi imeomba kujiunga.
Watanzania wenye nia, sifa na uzoefu wanaombwa kujaza nafasi za kazi zifuatazo zilizotangazwa na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
BOFYA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA TANGAZO
Tags: NAFASI Za Kazi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
