NAFASI Za Kazi Sengerema District Council

NAFASI Za Kazi Sengerema District Council
NAFASI Za Kazi Sengerema District Council
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema amepokea kibali cha kutekeleza Ikama na Bajeti kwa Ajira Mpya kwa mwaka wa fedha 2024/2025 chenye Kumb.Na.FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili, 2025 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Hivyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema anawatangazia wananchi wote ambao ni Raia wa Tanzania wenye sifa kuomba nafasi 16 Za Kazi zilizoorodheshwa hapa chini.
KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA
