MATOKEO ya Usaili wa Vitendo TASHICO 30/7/2025

MATOKEO ya Usaili wa Vitendo TASHICO 30/7/2025
MATOKEO ya Usaili wa Vitendo TASHICO 30/7/2025
Haya hapa Matokeo ya Usaili wa Vitendo Kutoka Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) uliofanyika tarehe 30/7/2025
Wasailiwa wote waliochaguliwa wanatakiwa kuzingata muda na eneo la usaili.
Aidha, wasailiwa wote wanakumbushwa kuwa na vyeti halisi pamoja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi.