NAFASI Za Kazi BRAC Maendeleo Tanzania

NAFASI Za Kazi BRAC Maendeleo Tanzania
NAFASI Za Kazi BRAC Maendeleo Tanzania
BRAC Maendeleo Tanzania ni sehemu ya shirika kuu la maendeleo lililoanzishwa shughuli zake mwaka 2006 nchini Tanzania, zikilenga maeneo mada ya Kilimo, Vijana na Uwezeshaji wa Wanawake, Usalama wa Chakula na Maisha.
BRAC Maendeleo Tanzania pia inajihusisha na kukuza maendeleo ya watoto wadogo kupitia mipango mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mradi wa majaribio wa BETL wa kubuni mtindo endelevu wa biashara kwa programu za ECD za gharama nafuu na zenye ubora wa juu.
Shirika hilo linatafuta watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza Nafasi Mbalimbali Za Kazi zilizoanishwa hapa chini.
DONWLOAD PDF YA TANGAZO HAPA
