KUITWA Kwenye Usaili RUWASA, MOI, Wizara ya Afya na MDAs & LGAs

KUITWA Kwenye Usaili RUWASA, MOI, Wizara ya Afya na MDAs & LGAs
KUITWA Kwenye Usaili RUWASA, MOI, Wizara ya Afya na MDAs & LGAs
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), MDAs & LGAs, Wizara ya Afya, Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 06-08-2025 hadi 26-08-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo
yafuatayo kwenye PDF hapa chini.
KUITWA KWENYE USAILI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA MAJINA YA NYONGEZA 31-07-2025
Tags: KUITWA Kwenye Usaili RUWASA, MOI, Wizara ya Afya na MDAs & LGAs
