NAFASI Za Kazi Songwe District Council

NAFASI Za Kazi Songwe District Council
NAFASI Za Kazi Songwe District Council
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi tano (5) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao.
Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo hapa chini.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Songwe
DONWLOAD PDF HAPA
