NAFASI Za Kazi Platinum Medical Care Hospital

NAFASI Za Kazi Platinum Medical Care Hospital
NAFASI Za Kazi Platinum Medical Care Hospital
Platinum Medical Care (PMC) ni hospitali iliyopo Morogoro nchini Tanzania inayotilia mkazo huduma bora za afya na ustawi wa jamii.
Platinum Medical Care Hospital inajulikana kwa huduma zao maalum za matibabu na kujitolea kwa huduma inayomlenga mgonjwa.
Hospitali hiyo pia inashiriki kikamilifu katika mipango ya afya ya jamii, kama vile michango ya damu na programu za elimu ya afya.
Platinum Medical Care Hospital inatafuta watu wenye nia, ari pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa hapa chini kwenye PDF.
Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Platinum Medical Care Hospital
DOWNLOAD PDF HAPA
