NAFASI Za Kazi Jeshi la Magereza Tanzania

NAFASI Za Kazi Jeshi la Magereza Tanzania
NAFASI Za Kazi Jeshi la Magereza Tanzania
Jeshi la Magereza Tanzania Kupitia Ajira Portal, linawatangazia Watanzania wote wenye sifa kuomba Ajira katika nafasi Moja (1) ya Mhudumu wa Jikoni Daraja La II
KUTUMA MAOMBI BOFYA HAPA

Naomba nafasi ya kazi
Naitwa David James Masige. Nina umri wa miaka 22.nimeitimu kidato cha nne mwaka 2021.naomba nafasi ya kazi jeshi la magereza Tanzania. Lengo ni kuilinda na kuitumikia nchi yangu kwa amani. Naomba kujiunga na jeshi la magereza Tanzania kwa lengo moja la kuilinda na kuitumikia nchi yangu. Nitashukuru kama ombi langu litakubaliwa. Ni wako katika ujenzi wa Taifa D.J.Masige. Ahsanteni sana
Naomba kujiunga na jeshi la askali magereza